Burudani

Mpenzi wa Amber Rose aendesha ndege kwa mara ya kwanza

Je kwa kumuangalia rapper 21 Savage anaweza kuendesha ndege?

Baada ya kupita takribani miezi mitano ya kujifunza urubani kwa rapper huyo ambaye pia ni mpenzi wake Amber Rose amepaisha ndege kwa mara ya kwanza.

Rapper huyo amefanya hivyo kupitia ndege ya aina ya Cirrus SR20 katika anga ya mji wa Florida kwa muda wa saa moja huku mpenzi wake Amber akirusha mubashara tukio hilo kupitia mtandao wa Instagram.

“He’s going to be such an Amazing pilot ❤️,” ameandika Rose kwenye picha aliyoiweka kwenye mtandao huo baada ya ndege hiyo ndogo iliyokuwa ikiendesha na Savage kutua.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents