Burudani

Mpoki akiimba nyimbo za Asili

20_mpoki

Mwanamuziki wa Asili ambaye amepata tuzo ya kili music Award, Mpoki akiimba wakati wa tamasha lililofanyika pale New Msasani, katika Sherehe ya kumpongeza msanii Twenty Percenty kutokana na kutwaa tuzo tano kwa wakati mmoja.

20_A_town

Jcb kabla ya kupanda jukwaani akiwa na Watengwa,

20_Mpoki_Vengu

Makomedy, wakiwa wanajadili nini wakarushe kutoka kwenye jukwaa hilo la Twenty Percenty ni Vengu pamoja na mwanamuziki bora wa muziki wa Asili Tanzania.

20_Vengu

Vengu akiokota data kutoka jukwaani na Black Berry yake.

20_Chiller

Q Chiller naye alikuwepo kumuunga mkono 20% katika jukwaa moja

20_jcb

Jcb akiwa jukwaani, akitoa michano na panchi za Hip Hop

20_Josemara

Jose Mara mtoto wa kimara nao walikuwepo kusherekea tuzo zao, pamija na Twenty.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents