BurudaniVideos

Mr Kesho: Msanii aliyekuja juu na wimbo wake ‘Nangoja’

Utamfahamu Mr Kesho kwa kiremba chake kichwani, kitu ambacho kinamtambulisha kirahisi.

Jina lake limeonekana kuanza kupata nafasi baada ya kuachia wimbo wake uitwao Nangoja. Mfahamu zaidi kwenye mahojiano niliyofanya naye hapo juu.

https://www.youtube.com/watch?v=dcpzbyOkiHY

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents