Uncategorized
Mr. P aachia video ya wimbo wake mpya ‘One More Night’, afanya vitu vya Michael Jackson (+video)
Baada ya kuachia ngoma yake ya ‘Zombie ft. Simi miezi kadhaa iliyopia (Mr P) ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘One More Nigh ft Niniola. Mr P ameonyesha uwezo wake wa kucheza hasa akitumia ‘style’ za King wa Pop duniani marehemu Michael Jackson.