Mrema asafishwa na wenzie

Image
Naibu katibu mkuu wa TLP, Hamad Rajab Tao leo amezindua kitabu  kinachoelezea undani wa mvurugano unaoendelea katika chama hicho kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa habari maelezo. Kwenye kitabu hicho, katibu ameelezea kashfa zinazomuandama Mwenyekiti wa taifa wa TLP. Ndg Augustine Mrema na kusema kwamba hazina ukweli wowote. Miongoni mwa kashfa hizo ni kubinafsisha nyumba ya chama na kutumia shilingi milioni 15 kununua nyani wa Kampeni


Aidha, naibu katibu mkuu huyo ambaye aliwahi kusimamishwa uanachama wa
chama hicho kwa muda amesema kwamba lengo la kuandika kitabu hicho si
kujikosha kwa mwenyekiti wake bali kusukumwa na uzalendo baada ya
kufanya utafiti wa takribani miaka 4

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents