Siasa

Mrema: Sisi TLP hatuna mabadala mwingine zaidi ya Magufuli, Tulikaa mara tatu na tulimwalika Polepole (+Video)

“Sisi TLP tulikaa tukatafakari kwa umakini, tukasema hatuna mbadala wa Dkt. John Pombe Magufuli, tusinganganie jimbo moja CCM 30 ni matumizi mabaya ya rasilimali watu” ”Tumekaa mara tatu na katika Mkutano Mkuu wa TLP tulimwalika
@hpolepole
kwa niaba yako na alijionea kura zote za wajumbe wa mkutano mkuu ziliangukia kwako na tutazunguka nchi nzima kukupigia kampeni”, – Augustino Mrema M/Kiti TLP. Augustino Mrema

https://www.youtube.com/watch?v=whwwetWUM6M

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents