Burudani

Mrembo adata kisa Diamond, Diamond alambwa mabusu!(Video)

By  | 

Mwanadada mmoja alipandisha mzuka mithiri amechanganikiwa baada ya kumuona Live Diamond Platnumz party na birthday ya Jack Wolper iliyofanyikia Buckets Masaki jijini Dar es salaam.

Mrembo huyo aliyejitambulisha kwa jina la Latifa alidai ana miaka mingi amekuwa akimuangalia Diamond kwenye runinga pamoja na magazeti.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments