Bongo Movie

Mrembo wa ‘Movies’ Tiko atupa karata yake kwenye muziki (Video)

By  | 

Msanii wa filamu, Tiko ameanza safari yake mpya katika muziki ambapo tayari ameachia kazi yake ya kwanza iitwayo, Niache. Mrembo huyo amedai kabla ya kuanza kufanya filamu, plan yake ya kwanza ilikuwa ni muziki.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments