Siasa

Mrisho Gambo: Kazi ya kugombea ni kazi moja na kazi ya kuteuliwa ni kazi nyingine ntaenda kuomba kura kwa wajumbe (+Video)

“Kazi ya kugombea ni kazi moja na kazi ya kuteuliwa ni Kazi Nyengine, kwa hiyo nitakwenda kuomba kura kwa wajumbe wa mkutano Mkuu CCM Wilaya na baada ya hapo nitasubiri hatma ya vikao”🎤@mrisho_gambo huku katibu wa CCM Wilaya ya Arusha mjini Ndg;Denis Mwita akisisitiza wagombea kuto kinzana na taratibu za uchukuaji fomu.

 

https://www.instagram.com/p/CCnxlulBr9C/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents