Tupo Nawe

Mrisho Mpoto aeleza alivyojitoa kuelimisha kuhusu corona “Hofu inaua kiliko corona” (Video)

Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ambaye yupo kwenye kampeni ya Mikono Salama ya kuwahamasisha wananchi kunawa mikono ili kujikinga na corona amefunguka kwa kusema kwamba Watanzania wengi wameanza kuelewa na kuchukua tahadhari.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW