Burudani ya Michezo Live

Mrisho Mpoto amvalisha kanga binti Anna aliyefiwa na wazazi wake wawili, aeleza lengo lake (Video)

Msanii wa Muziki wa Asili Mrisho Mpoto Jumapili hii aliitembelea familia ya binti Anna aliyepoteza wazazi wake wawili pamoja na wadogo wake watatu kwaajili ya kutoa pole kwa wafiwa pamoja na kuzungumza mambo machache binti huyo aliyehitimu kidato cha nne siku za karibuni.

https://youtu.be/b8PEw9YWVwk

Katika hatua za kumpatia pole, Mrisho alimvalisha kanga binti huyo na kumwambia kwa sasa anatakiwa akaze buti kwenye kusoma kwani yeye ndio tegemeo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW