Mrithi wa Maximo

Image
Kocha muingereza Stewart Hall ameielezea nia yake ya kurithi mikoba ya Mbrazil Marcio Maximo kuinoa Taifa Stars. Hall, ambaye ameshawahi kuzifundisha timu za taifa za Trinidad & Tobago na St. Vincent & Grenades na klabu ya India ya Pune FC, amesema hivyo kupitia Uk Press huko ikiwa imebaki miezi michache mkataba wa Maximo kumalizika na amesisitiza umuhimu wa kuwanoa makocha wazalendo ili kuinua soka nchini

 

Kocha huyo ameshawahi kuja nchini mara mbili, mara ya kwanza ikiwa mwaka 2006 na 2007 akiwa na wachezaji wa zamani wa Uingereza John Barnes na Les Ferdinand  na ameshawahi kuandika mada ya ‘Team Tanzania’

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents