BurudaniVideos

Ms Triniti atua Bongo

 

Mwanadada toka nchini Marekani Ms. Trinity (mwenye top ya blue) ametua jijini Dar kwa ajili ya kutumbuiza ndani ya ukumbi uliozaliwa upya wa New Maisha Club Ijumaa 24 mwezi huu.

Wapenzi wa dancehall wakae mkao wa kuchizika kutokana na shoo bomba ambayo ameiahidi mwanadada huyu.

Pata flavas za Ms. Triniti na Beenie Man hapa chini

{hwdvs-player}id=1151|tpl=playeronly{/hwdvs-player}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents