Habari

Msaada tutani: C-Sir Madini yuko njia panda, hajui aupe jina gani wimbo wake huu!!

madini

Baada ya Avril kuwa kwenye njia panda ya jina gani auite wimbo wake, it seems like si msanii pekee aliyekuwa kwenye dilemma hiyo. Hitmaker wa Kifungo Huru, C-Sir Madini naye yupo kwenye the same boat na anahitaji msaada wako. Msaidie kupendekeza jina la wimbo huu anaotarajia kuuachia hivi karibuni na aliomshirikisha Josefly.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents