Burudani

Msaga Sumu azungumzia mafaniko yake pamoja na mpango wa kolabo Diamond (Video)

Msanii wa muziki wa Singeli, Msaga Sumu amefunguka kuzungumzia mafanikio yake kwenye muziki pamoja na mpango wa kufanya kolabo ya Diamond na Alikiba. Muimbaji huyo ambaye ni mmoja kati ya wasanii watakaolipamba Tamasha la Sport&Music Festival katikati ya mwezi huu, amesema atajaribu kuwatafuta Diamond na Alikiba kwaajili ya kolabo na wakimkatalia basi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents