Burudani ya Michezo Live

Msanii Aila alalamika kuteswa na penzi la mwanaume wa Arusha, afunguka alivyotoswa na The Mafik (Video)

Msanii wa muziki Aila amefunguka kuuzungumzia wimbo wake mpya ambao ndani yake ameonekana akimlalamikia mpenzi wake ambaye amedai anatokea a Arusha. Pia muimbaji huyo amefunguka kuzungumzia jinsi alivyoondoka kwenye kundi la The MAFIK baada ya meneja wa bendi hiyo ambaye hakumtaja jina lake kuleta tamaa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW