Burudani

Msanii AT Naye Apata Mtoto

Msanii AT

In Case you didnt know, Msanii wa kizazi kipya AT naye amejiunga katika ever growing list ya wasanii wa muziki wa Bongo Flava ambao kwa sasa wana status za kuitwa baba au Daddy so n so.
Msanii huyo ambaye kwa sasa yuko nje ya nchi, nchini uingereza, ametoa kauli, ambayo imethibitisha tetesi za kwamba mkewe amejifungua mtoto wa kike, ambaye bado hajapewa jina.
Alisema hivi Nipo nje kikazi lakini taarifa ninazo na nashukuru mungu kwani mke wangu ameweza kujifungua bila matatizo na kama unavyojua siku hizi wanawake wajawazito wamekuwa wakipata matatizo sana wakati wa kujfungua”.
AT amekuwa msanii na mdau wa pili wa kiume wa muziki wa Bongo Flava kuwa blessed kupata mtoto this week. Ni jana tu tulituma pongezi zetu za kwa pongezi kwa Dj wa wasanii na blogger, Dj Choka na leo tunachukua nafasi hii kumtumia hongera nyingi sana msanii AT kwa kupata motto. You are now a Dad. Congratulations Brother.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents