Msanii chipukizi wa Bongo Fleva Adventure, amewaleta ngoma mpya ‘Nishawasahau’ ( +Audio)

Msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva Adventure ameachia audio ya ngoma yake mpya NISHAWASAHAU, Adventure ni msanii chipukizi wa muzki wa Bongo Fleva na anaomba sapoti ya Watanzania.

Ngoma hiyo ikuwa imefanywa na maproducer wawili amabo ni Liver Classic na Debee the Badest

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW