Burudani

Msanii Ghana amtungia DKB wa Big Brother

Msanii wa muziki wa hip hop nchini Ghana, Edem amefanya Remix ya wimbo wake Over Again,akimuimba aliyekuwa mshiriki mshiriki wa Shindano la Bigbrother Stargame 2012 DKB.

Msanii huyo ambaye maskani yake yapo nchini Ghana anaonekana alichukizwa na kitendo cha mshiriki wa nchi yake DKB kumpiga kofi mshiriki mwenzake Zainab na hivyo wote wawili kutolewa katika shindano hilo baada ya kupatikana na kosa la kuvunja kanuni na masharti ya amani na utulivu katika shindano hilo.

Msanii huyo Edem ametupia mistari inayohusu tukio lililosababisha yeye na Mshiriki Zainab kutolewa. Mistari ya wimbo huo inasema

DKB slap am,
he break e jaw wey he dawg am.
Big brother bore am,
dem pack e tings wey dem sack am,
CHORUS
He no dey care wat dey say
Any fine he go pay,
He go slap am over & over &over again …

fuata link hii hapa kusikiliza wimbo huu

Exclusive New Music : Edem – Over Again (DKB Remix) … Hit or miss! | OMG! Ghana
http://omgghana.com/exclusive-new-music-.

Exclusive New Music : Edem – Over Again (DKB Remix) … Hit or miss!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents