AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Msanii Hard Lee ameachia video ya nyimbo yake mpya baada ya ngoma yake na Beka Fleva kufanya vizuri

MUSIC VIDEO: Hard Lee - Nitulie

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hard lee ameachia nyimbo nyingine baada ya ngoma yake na Beka Fleva kufanya vizuri. nyimbo hii inaitwa “Nitulie”

akiwa ameifanyia kwa Maximaiza ndani ya studio ya Fleva rekodi huku video ikiwa imefanywa na Hanscana.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW