Burudani

Msanii Kallis aliyefanya biashara ndogo ndogo na Harmonize, afunguka haya usiyoyajua kuhusu msanii huyo (+Video)

Msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva Kallis amefunguka mwanzo mwisho kuhusu historia yake nzima hadi kufikia malengo yake ya muziki pamoja na sehemu alikoanzia kazi yake ya sanaa hadi kufikia hapa alipo.

Mbali na kuongelea hilo msanii huyo ameongeza kuhusu kufanya biashara ndogo ndogo na msanii mkubwa wa Bongo Fleva kutoka katika lebo kubwa ya muziki ya WCB Harmonize, ambapo amesema waliuza maji wote ubungo na Kariakoo.

Kallis aliongeza haya usiyoyajua kuhusu Harmonize:-

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents