Burudani

Msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage aachwa solemba na Promota aliyempeleka Kenya

Msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage aachwa solemba na Promota aliyempeleka Kenya

Msanii kutoka Nigeria Tiwatope Savage-Balogun,alimaarufu Tiwa Savage amlaumu Promota aliyempeleka Kenya kwa kumuuacha solemba.

Tiwa Savage amefunguka kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa anaipenda sana Kenya ila kitu walichomfanyia huko Kenya sio kizuri kabisa kwani Promota aliyempeleka Kenya kwenye uzinduzi wa albam ya msanii kutoka Kenya Redsan.

Inadaiwa kuwa Promota aliyempeleka Kenya alimkimbia Tiwa Savage katika hoteli aliyokuwa amefikia lakini alipojaribu kumpigia simu akawa hapokei:-

Haya ndio malalamiko ya Tiwa Savage:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents