Wizkid amerudi kwa staili ya aina yake, aachia nyimbo mbili kwa wakati mmoja

Wizkid amerudi kwa staili ya aina yake, aachia nyimbo mbili kwa wakati mmoja

Msanii kutoka Nigeria Ayodeji Ibrahim Balogun alimaaruf Wizkid ameachia audio za nyimbo mbili ambazo ni Fever na Master Groove, Licha kuonekana kimya kidogo kwa kutoa nyimbo zake mwenye inagwa anaendelea kushirikishwa na wasanii mbalimbali kutoka katika lebo yake ya Star boy pia hata nje ya lebo hiyo wengine wakitoka hapo Nigeria lakini pia wengine wakitoka nje ya nchi hiyo,Msanii Wizkid jana usiku amefanikiwa kuachia audio za nyimbo zake mbili ambazo ni “FEVER” pamoja na MASTER GROOVE”

“FEVER”

“MASTER GROOVE”

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW