Videos

Msanii Lulu Diva baada ya ngoma yake ya “Ona” ft Mavoko kufanya vizuri ameachia video ya “Alewa” aliyomshirikisha S2kizzy (+Video)

Lulu Diva arudi kivingine kwenye ngoma hii

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Lulu Diva alimaarufu Sexy lady ameachia video ya ngoma yake ya “Alewa” ambayo amemshirikisha mwandaaji wa muziki (Producer) katika studi za Switch rekodi S2kizzy.

Msanii huyo wakati anaongea na Bongo five wiki moja iliyopita alifunguka na kusema kuwa nyimbo hiyo imeandikwa na S2kizzy ambaye pia ndio Producer wa ngoma hiyo lakini video ikitengenezwa na Director Ivan.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents