Burudani ya Michezo Live

Msanii mpya wa Bongo Fleva Golden Dee aachia video ya wimbo wake mpya “Nipe Subira” – Video

Msanii mpya wa Bongo Fleva Golden Dee aachia video ya wimbo wake mpya "Nipe Subira" - Video

Msanii mpya wa muziki wa Bongo fleva Golden Dee ameachia video ya wimbo wake mpya ‘NIPEN SUBIRA’ Katika wimbo huo Golden Dee amewazungumzia watu ambao wanapenda kufuatilia mambo ya watu.

Video ya wimbo huo imefanywa na Director blackfish.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW