Msanii Salha aliyemuimbia wimbo DC Jokate afunguka anavyomkubali Mkuu huyo wa Wilaya ya Kisarawe (Video)

Msanii wa muziki Salha ambaye aliimba wimbo Tokomeza Zero kwaajili ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe @jokatemwegelo amefunguka kuzungumzia sababu ya kumuandika wimbo maalum kwaajili ya mkuu huyo. Muimbaji huyo amesema yeye ni shabiki mkubwa wa Jokate ndio maaana anamfuatilia kwa ukaribu zaidi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW