Burudani

Msanii Shetta afunguka kufunga ndoa na Mange Kimambi, pia aongelea kuhusu Nandy kujiunga na WCB (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetamba na kibao chake cha ‘Hatufanani’ alichokifanya na Jux pamoja na Mr Blue, Shetta amefunguka mwanzo mwisho kuhusiana na ukaribu wake na mwanadada Mange Kimambi.

Shetta amefunguka hayo wakati anapiga stori na Bongo5 wakati akiizungumzia ngoma yake ya Hatufanani na kusema:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents