Tupo Nawe

Msanii wa Afrika Kusini aliyeimba wimbo wa John Cena kwa Kiswahili, amtoa maneno mazito mbabe huyo wa Mieleka baada ya kukutana – Video

Msanii wa Afrika Kusini aliyeimba wimbo wa John Cena kwa Kiswahili, amtoa maneno mazito mbabe huyo wa Mieleka baada ya kukutana - Video

katika show ya msanii Kelly Crarkson (The Clarkson show) msanii kutoka kwa madiba Afrika kusini Sho Madjozi alikua anaperform katika show hiyo na kikubwa kilichotokea ni kwamba mkali wa mielekea duniani John Cena kumfanyia Suprise mwanadada huyo kitu ambacho hakutegemea kabisa.

Ikumbukwe katika show ya Ellen Ellen (The Ellen Show) John Cena aliulizwa kuwa kuna msanii kutoka Afrika kusini kaimba wimbo unaitwa John Cena unamfahamu alijibu ndio nmafahamu na akamtaja jina kusema anaitwa Sho Madjozi.

Sho Madzoji aliandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa Twitter:-“Sikumuona akiingia kwa wakati huo watu walikuwa wakipiga kelele mimi ni kama ninlishtuka.”

Mkali wa mieleka John Cena nae aliandika manenbo haya:-Asante
Kelly ClarksonTV kwa tukio kubwa na lakushangaza na ni heshima gani ya mimi kujifunza vitu vingi kutoka kwa  ShoMadjozi
hadithi na jinsi ilivyo lakini pia kwa kuona kuwa WWE
inaweza kuhamasisha msanii kote ulimwenguni. wanasema “Fanya kilichobora uwe bora kwa sababu haujui ni nani anayeangalia au inamuthiri vipi”.

Iku

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW