Bongo Movie

Msanii wa filamu Bongo aeleza kilichomfanya ahamie kwenye uchekeshaji na kufanya kazi na wakongwe (+video)

Msanii wa filamu Bongo ambaye anaishi nchini Marekani, BMK Theoneste ameongea na Bongo5 na kufunguka sababu zilizomfanya ahamie kwenye upande wa uchekeshaji na kuanza kufanya kazi na wasanii wakongwe kama Pembe, Senga na wengine. Msikilize hapa chini.

Kutazama video za BMK Theoneste bonyeza hapa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents