Habari

Msanii wa Ghana, Stonebwoy ashinda tuzo ya Best International Act Africa ya BET

Msanii wa muziki wa dancehall wa Ghana, Stonebwoy ameshinda tuzo ya Best International Act: Africa, kwenye BET Awards 2015.

Amewapiku wasanii wenzake wakiwemo Sarkodie, A.K.A, Yemi Alade na Sauti Sol.

11357385_1621420434808955_1755832777_n

Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Stonebwoy kutajwa kwenye tuzo za kimataifa.

11325412_124097464590589_1478846895_n
Stonebwoy akiwa na Sarkodie

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents