Tupo Nawe

Msanii wa Kings Music ya Alikiba, Cheed aachia Video mpya ‘Masozy’ aliyomshirikisha Alikiba na K-2GA 

Msanii wa muziki wa kutoka kundi la Kings Music la muimbaji Alikiba, Cheed ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Masozy’ uliyowashirikisha K-2GA na Alikiba. Audio ya wimbo huo ikiwa imefanyika Combination Sounds huku video ikiongozwa na Kevin Bosco Jr.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW