Tupo Nawe

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina aitwa na BASATA “Tumeona video zake, Tunataka kumhoji”

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.

Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.

Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu. Soma taarifa hiyo

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW