Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Msanii wa Nigeria aliyemshirikisha Harmonize, Omoakin awataja wasanii wa Bongo anaowakubali

Msanii kutoka nchini Nigeria, Omoakin amefunguka sababu ya kumshirikisha Harmonize kwenye remix ya wimbo wake ‘Sisi Maria’ ambao umekuwa ukifanya vizuri tangu utoke mwezi uliopita na amewataja wasanii wa Bongo ambao anawakubali.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW