Videos

Msanii wa Tanzania ‘BeeMan’ anayesimamiwa na Wyre aja na wimbo/video mpya ‘Kizunguzungu’ (Official Video)

Msanii mtanzania BeeMan aliyepata nafasi ya kusimamiwa kazi zake na label ya Love Child inayomilikiwa na Wyre wa Kenya ametoa video ya wimbo wake mpya ‘Kizunguzungu’.

Katika wimbo huu ‘Kizunguzungu’ Bee Man kutoka Arusha amemshirikisha bosi wake Wyre na wimbo huu unafuata baada ya single yake iliyopita ‘Embe dodo’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents