Soka saa 24!

Msanii wa TID ‘Enzi knowledge’ afuata nyayo za Boss wake, ametuletea ‘Taabani’ (+ Video)

Msanii mpya anayokwenda kwa jina la Enzi Knowledge aliyoko chini ya lebo ya Rada ambayo inasimamiwa na Mnyama TID ameachia video ya wimbo wake.

Msanii huyo ameachia Video hiyo ambayo imefanywa na Director Keny Brown pamoja na audio ya ngoma hiyo iliyofanywa na Producer Kitonzo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW