Michezo

Mshindi wa Bajaj ya promosheni ya Shinda na SportPesa kutoka Bukoba akabidhiwa zawadi yake

Wilson Wincheslaus Ngemela mfanyabiashara na mkazi wa Nyamkazi Bukoba (21), Mshindi wa droo ya 14 kwenye promosheni iliyofanyika tarehe 8 Novemba mwaka huu amebadilisha maisha yake kwa kueleza jinsi alivyonyakua zawadi hiyo ya Bajaj.

Wilson Wincheslaus Ngemela akikabidhiwa Bajaj yake aina ya TVS King kutoka SportPesa

Mshindi huyo anaonekana akipokea pikipiki yake aina ya TVS King deluxe kwa furaha na kuishukuru kampuni ya kubashiri michezo ya SportPesa kwa kuinua maisha yake kupitia promosheni ya Shinda na SportPesa, ambapo sasa amejipatia njia mpya ya kumuingizia kipato.

Kadri siku zinavyoendelea, Promosheni ya Shinda na SportPesa imekuwa ikipamba moto kwa kubadilisha maisha ya Watanzania. Mpaka sasa washindi 23 wameshapatikana na baadhi wameshakabidhiwa bajaji zao aina ya TVS King Deluxe. Watu wa rika zote wamejitokeza kushiriki katika droo hiyo kwa kuweka ubashiri na SportPesa kisha kutuma neno Shinda kwenda 15888.

Soma na hii – DC Njombe amkabidhi Bajaj mshindi wa promosheni ya Shinda na SportPesa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents