Habari

Mshiriki wa BSS aliyeingia top 4 afunguka anavyovutiwa na Zuchu, Nandy na Ruby (Video)

Bongo5 wiki ilifanya mahojiano na mmoja katika washiriki wa BSS, Margaritha ambaye ameingia top 4 ya mashindano hayo ambapo amesema yeye aliingia kwenye mashindano hayo kwaajili ya kupata nafasi ya kuonyesha kipaji chake.

Katika hatua nyingine muimbaji huyo amesema katika tasnia ya muziki anaumizwa kichwa na wasanii wote wakike wanaofanya vizuri ila anavutiwa sana na Ruby, Zuchu na Nandy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents