Burudani

Msichana aliyekutwa mtupu kitandani kwa Chris Brown anatokea Tunisia, anaamini ni CB ni mumewe!

Mwanamke aliyekamatwa nyumbani kwa Chris Brown baada ya kuvunja na kufanya uharibifu, anaamini kuwa ni mke wa staa huyo.

11242865_1616265461923409_742572034_n

Kabla ya hapo, Amira Kodcia Ayeb alipost ujumbe mtandaoni kuwa yupo Malibu akitafuta nyumba yake. Msichana huyo mwenye miaka 21 kutoka nchini Tunisia, anasema jina lake la mwisho ni Brown.

Inawezekana anadhani kuwa Chris ni mume wake na ndio maana aliandika “Mrs. Brown” kwenye magari ya staa huyo na ndani ya nyumba yake. Rafiki wa Ayeb ameiambia TMZ kuwa Ayeb ni muimbaji chipukizi anayesoma katika chuo kikuu cha Houston na alipanda basi wiki iliyopita kwenda kumuona Chris.

Chris alimkuta msichana huyo kitandani kwake akiwa mtupu Jumatano hii na inadhaniwa alikaa ndani humo kwa siku mbili.

Kupitia Instagram, Chris alielezea mkasa huo:

I get home and find this crazy individual in my house. She had broken the hinges off the doors. She Found time to cook her several meAls. She Wrote “I love you” on the walls. She threw out my daughters clothing as well as my dogs stuff. Then had all these crazy voodoo things around my crib. goes to show you how crazy people are crazy! And she painted her name on my cars!!!! I love my fans but this is some on some real real crazy shit! I pray she will get help .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents