Burudani

Msichana amuomba pesa baba yake ya kumnunulia mchumba wake gari siku ya wapendanao

Mwanamke mmoja wa nchini Kenya mwenye umri wa miaka 20 ampatia funguo za Mercedes Benz E200 mpya siku ya Valentine.

Kulingana na ripoti, Fridah Kariuki ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Methodist Kenya (KEMU) alimuomba pesa baba yake ya kumnunulia mchumba wake Michael Musyimi Mercedes kwa sababu alikuwa anatamani kulimiliki siku moja.
Fridah anasema kwamba Michael amekuwa akimpatia misaada mbali mbali ya kifedha na kihisia na alidhani ni vizuri akimpaita zawadi maalum katika siku ya wapendanao.

Wawili hao walikuwa wamevaa mavazi ya rangi nyeusi na baadaye walipiga picha wakiwa pamojaa mbele ya gari hilo jipya. Angalia picha za tukio hilo hapa chini.

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents