Michezo

Msimamo ligi ya vyuo vya Elimu ya juu Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’

Ligi ya vyuo vya elimu ya juu ya Soka la Ufukweni (Beach Soccer) imendelea kwenye Uwanja wa Escape One, Mikocheni, Dar Es Salaam wikiendi hii kwa michezo mbalimbali kuchezwa.

Baada ya michezo hiyo kuchezwa msimamo wa kundi A, nikama unavyoonekana.

Na msimamo wa kundi B, baada ya matokeo ya michezo iliyochezwa wikiendi hii.

Huu ni msimu wa pili wa ligi hii ya vyuo vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam kwa soka la ufukweni (Beach Soccer) ambao umezinduliwa rasmi Novemba 1 mwaka huu kwenye ufukwe wa Escape One, Mikocheni Dar Es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents