Michezo

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara

Duru la tatu la Ligi Kuu soka Tanzania Bara lilianza hapo jana siku ya Ijumaa kwa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC kucheza na Kagera Sugar na kufakiwa kuchomoza na ushindi mwembamba wa bao 1-0 lililofungwa na Mbaraka Yusuph dakika ya 43 ya kipindi cha kwanza.

Mara baada ya mchezo wa hapo jana huu ndiyo msimamo wa Ligi hiyo yenye timu 16 kabla ya matokeo ya michezo mingine iinayotarajiwa kupigwa leo Septemba 16 2017 katika viunga mbalimbali hapa nchini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents