Msindi wa tuzo ya ZIFF 2017 atoboa siri ya ushindi

Mshindi wa tuzo ya Zanzibar International Film Festival (ZIFF) 2017, Ibrahim Osward amefunguka juu ya ushindi alioupata katika tuzo hizo zilizofanyika Jumamosi iliyopita kisiwani Zanzibar.

Ibrahim aliibuka mshindi katika kipengele cha Muigizaji bora wa Kiume kupitia filamu ya ‘Tunu’ ambapo amewagalagaza wasanii waliokuwa wakiwania kipengele hicho.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW