Habari

Mstaafu Kikwete aleza sababu za Dodoma kuchaguliwa kuwa makao makuu ya nchi “Ilikuwa Kidemokrasia Pwani walipinga” – Video

Rais mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anaelezea kwa ufupi chimbuko la mji wa Dodoma kuchaguliwa kuwa makao makuu ya Taifa la Tanzania 🇹🇿 “Dodoma uliteuliwa kidemokrasia kabisa kwa mikoa yote kuchangua ni mkoa gani utakuwa makao makuu ya nchi ila mkoa ukiokataa ni mkoa wa Pwani “

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents