Michezo

Mtaiwan, Hsieh Su-wei amtoa machozi mchezaji bora duniani michuano ya Wimbledon 

Mchezaji tennis raia wa Taiwan, Hsieh Su-wei amefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya Wimbledon baada ya kumfunga, Simona Halep anayeshika nafasi ya kwanza kwenye viwango vya ubora duniani.

Mchezaji tennis raia wa Taiwan, Hsieh Su-wei

Hsieh Su-wei ambaye anashika nafasi ya 48 kwenye viwango hivyo vya ubora amemfunga Halpe kwa jumla ya seti 3-6, 6-4, 7-5 kwenye raundi ya tatu.

Simona Halep

Halpe anakuwa kigogo wa nane kati ya 10 ambao wameshuhudiwa wakiyaaga mashindano haya ya Wambledon kwa upande wa wanawake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents