Videos

Mtangazaji wa E-FM ‘Fido’ ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Cheza’ itazame hapa

Kwa watu ambao huwa wanasikiliza kipindi cha Genge cha E-FM au kipindi cha ‘Funga Mtaa’ kinachoruka kila Jumamosi kupitia kituo hicho cha Radio utakuwa unamfahamu ‘Fido’. Sasa hapa anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya wa aina ya Singeli unaoitwa ‘CHEZA’. Video imeongozwa na Director Eddy itazame hapa chini.

https://youtu.be/1z__Si7n2pU

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents