BurudaniUncategorized

Mtangazaji wa redio kubwa Ujerumani amtaja msanii wa Afrika pekee anayepigwa huko (+video)

Muziki wa Afrika umekuwa ukifanya vizuri Marekani na Ulaya, mtangazaji wa redio kubwa nchini Ujerumani ya Planet Radio, Aisha Adjoa amewataja wasanii ambao wanakubalika na muziki wao unapigwa nchini humo.


                                                      Aisha Adjoa

Mtangazaji huyo amesema kuwa muziki wa Afrika haupewi nafasi nchini humo hata raia wake hawausikilizi japo yeye amekuwa akiusikiliza sana muziki huo na anaupenda kwa kuwa anatoka katika nchi ya Ghana.

Aisha ameongeza kuwa Wizkid pekee ndio anasikika katika redio za Ujerumani tena kupitia wimbo wa One Dance alioshirikishwa na Drake.

Msikilize mtangazaji huyo akiongea hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents