Tupo Nawe

Mtanzania aliyepeleka dawa ya ‘CORONA’, NIMR majibu yatoka ”Imethibitishwa, inatibu na saratani” (Video)

Baada ya vijana walioibuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Assumpter Mshama kufikisha dawa yao ya Corona, NIMR kwaajili ya kuthibishwa hatimaye majibu yametoka na kuonyesha dawa hiyo ya ‘Baycaro’ ina uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali yakiwemo ya Virusi, Kansa (Saratani) na Uvimbe. ”Cha kumshukuru Mungu vipimo vimerudi NIMR, majibu yameonyesha dawa hii ya ‘BAYCARO’ inafaa. Sisi tunaweza kuwa sawa na Madagascar, inatibu virusi, saratani na uvimbe.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW