Habari

Mtanzania anayeishi kwa kutegemea kula chupa, misumari na wembe (Video)

Katika hali isiyokuwa ya kawaida wiki hii kamera ya Bongo5 ilimnasa kijana ambaye anaishi kwa kutegemea kula chupa, misumari, wembe pamoja na mawe. Kijana huyo aliuambia mtandao huu kwamba amekuwa akiishi kwa kufanya maonyesha ya kula vitu hivyo ili kujiingizia kipato kwa zaidi ya miaka 2 sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents