Habari

Mtanzania ndani ya Playboy

IdaIda Ljungqvist (26), binti mrembo aliyepata nafasi ya kuwa katika jarida la Playboy nchini marekani., mama yake ni mtanzania lakini baba yake ni raia wa nchini Sweden aliondoka nchini akiwa na umri wa miaka mitano. Binti huyu ametambulishwa rasmi kuwa playmate mpya katika toleo la March na kupewa tittle ya Miss March 2008.

Ida

 

 

 

Ida Ljungqvist (26), binti mrembo aliyepata nafasi ya kuwa katika jarida la Playboy nchini marekani., mama yake ni mtanzania lakini baba yake ni raia wa nchini Sweden aliondoka nchini akiwa na umri wa miaka mitano.

 

 

 

Binti huyu ametambulishwa rasmi kuwa playmate mpya katika toleo la March na kupewa tittle ya Miss March 2008.

 

 

 

Kila mtu ana haki ya kufikiria vile anavyotaka na pia haimaanishi kuwa tunampongeza kwa kutoka katika jarida hilo linalosifika kwa kutoa picha za kikubwa, huenda ilikuwa ni moja katika ya malengo yake kufika huko na hatuna budi kumpengeza na kumtakia mafanikio mema.

 

Ida

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents