Uncategorized

Mtibwa Sugar yashindwa kutamba mbele ya KCCA FC, yafungashiwa virago CAF Confederation Cup

Klabu ya Mtibwa Sugar imeyaaga mashindano ya kombela shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya miamba ya soka ya Uganda timu ya KCCA kwa kukubali kipigo cha jumla ya mabao 5-1.

Kwenye mchezo wa awali Mtibwa ilikubali kichapo cha mabao 3 – 0 ugenini mbele ya KCCA kabla ya leo kufungwa 2 – 1 katika dimba la Azam Complex.

Mtibwa ilichomoza na ushindi wa mabao 5 – 0 dhidi ya Nothern Dyanamo ya usheli katika mechi yake ya kwanza na kufanikiwa kuwaondoa kwenye michuano hiyo, kabla kukutana na miamba hiyo ya soka kutoka Uganda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents